Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika
Habari za michezo

MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA…SIMBA WAPEWA WYDAD..YANGA vs AL AHLY…

admin October 6, 2023 4:36 pm

Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limepanga Makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani humo msimu huu 2023/24, huku mchaka mchaka kwa timu shiriki katika hatua hiyo ukitarajiwa kuanza Novemba 24.

CAF imepanga makundi hayo mjini Johannesburg-Afrika Kusini leo Ijumaa (Oktoba 06), chini na Mkuu wa Idara ya Mashindano ya Shirikisho hilo, Khalid Nassar.

Mabingwa wa Tanzania Bara Young Africans ambao watashiriki hatua hiyo baada ya miaka 25 kupita, wamepangwa Kundi D, huku ndugu zao Simba SC ikiangukia Kundi B.

Bingwa wa michauno hiyo msimu wa 2022/23 Al Ahly kutoka Misri amepangwa Kundi D.

Kundi A: FC Nouadhibou, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns na Pyramids

Kundi B: Simba, ASEC Mimosas, Jwaneng Galaxy na Wydad AC

Kundi C: Espérance de Tunis, Étoile du Sahel, Petro de Luanda na Al Hilal

Kundi D: CR Belouizdad Al Ahly, Young Africans na Medeama

GAMONDI ATOA AHADI HII BAADA YA KIPIGO KUELEKEA SUPER LEAGUE….MPANGO WA MBRAZILI SIMBA KUMALIZANA NA AL AHLY UKO HIVI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA…SIMBA WAPEWA WYDAD..YANGA vs AL AHLY…”

  1. Amduni says:

    Tulio kuwa tunawataka wamejileta

Leave a Reply