Home Habari za michezo GAMONDI AFUNGUKA MIPANGO YAKE KWENYE KIPINDI CHA MAPUMZIKO

GAMONDI AFUNGUKA MIPANGO YAKE KWENYE KIPINDI CHA MAPUMZIKO

Kocha Miguel Gamondi amefunguka kuwa atatumia kipindi hiki cha mapumziko kuboresha kikosi chake na kuleta usawa.

โ€œNi muda wa mapumziko, baadhi ya wachezaji wetu wameenda kujiunga na timu zao za taifa. Tutaendelea na mazoezi na hawa waliopo na lengo ni kuboresha na kuweka usawa wa kikosi chetu,โ€ alisema Gamondi aliyeifikisha Yanga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya miaka 25.

โ€œKatika mazoezi haya tunatarajia kucheza mechi za kirafiki kadhaa kabla ya kurejea kwenye mashindano.โ€

SOMA NA HII  KIMEUMANA YANGA LEO HUKO UGENINI CAFCL