Habari za michezo

GAMONDI AFUNGUKA MIPANGO YAKE KWENYE KIPINDI CHA MAPUMZIKO

Staff Desk October 12, 2023 3:53 pm

Kocha Miguel Gamondi amefunguka kuwa atatumia kipindi hiki cha mapumziko kuboresha kikosi chake na kuleta usawa.

“Ni muda wa mapumziko, baadhi ya wachezaji wetu wameenda kujiunga na timu zao za taifa. Tutaendelea na mazoezi na hawa waliopo na lengo ni kuboresha na kuweka usawa wa kikosi chetu,” alisema Gamondi aliyeifikisha Yanga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya miaka 25.

“Katika mazoezi haya tunatarajia kucheza mechi za kirafiki kadhaa kabla ya kurejea kwenye mashindano.”

NTIBAZOKINZA UHAKIKA….KRAMO BYE BYE SIMBA….MPANGO MZIMA UMEKAA HIVI… SIKU CHACHE BAADA YA KUFUNGIWA NGUMI….MWAKINYO AIBUKA NA KAULI HII YA KIBABE KWA MABOSI ZAKE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply