Habari za Michezo
Habari za michezo

AFRICAN FOOTBALL LEAGUE ….MECHI YA KESHO TP MAZEMBE vs ESPERANCE HAKUNA KIINGILIO…

admin October 21, 2023 7:09 pm

TP Mazembe watacheza mchezo wao wa kwanza wa African Football League (AFL) katika dimba la Benjamin Mkapa dhidi ya Esperance De Tunis, mchezo huo hautakuwa na kiingilio na Mazoezi t imewaomba watanzania kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu yao ikicheza dhidi ya watunisia.

TP Mazembe wamechagua kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa na inakuwa faida kwa Tanzania kushuhudia michezo mingine zaidi ya Africain Football League ambayo inasimamiwa na FIFA pamoja na CAF.

Mchezo kati ya Tp Mazembe dhidi ya Esperance hautakuwa na kiingilio na hivyo kila mtanzania na mpenda soka anaweza kwenda kesho Benjamin Mkapa kuwaunga mkono TP Mazembe.

Mazembe inawaomba mashabiki wa soka nchini kujitokeza kwa wingi Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuiongezea hamasa timu yao iliyouchagua kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa.

YANGA YA GAMONDI YAAIANZIA MBALI AZAM FC….MECHI YA JTATU LAZIMA ‘KIBUYU KILIE’… BAADA YA ZIMBWE Jr KUMPELEKEA ‘MOTO’  JANA…TAU KATIKISA KICHWA WEE..KISHA AKASEMA HILI..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply