Habari za michezo
ACHANA NA ISHU YA BONGO UNAAMBIWA SIMBA IMEFUNIKA AFRIKA NZIMA YAWEKA REKODI HII
Staff Desk
November 17, 2023
6:22 am
Timu ya Simba SC imeshika namba 1 Afrika miongoni mwa timu zenye ushawishi mkubwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi Oktoba.
Kwenye orodha hiyo 5 bora imeshikwa na Simba Sc, Wydad Casablanca ya Morocco, Al Ahly ya Misri, Yanga SC ya Tanzania, Raja Casablanca ya Morocco.
Chati nima imesimama hivi;
1. Simba SC 9.59M
2. Wydad Casablanca 7.80M
3. Al Ahly SC 6.89M
4. Yanga SC 6.44M
5. Raja Casablanca 5.20M
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.