Habari za michezo
KIKOSI CHA TAIFA STARS KIMEWASILI MOROCCO KWA NAMNA HII
Staff Desk
November 17, 2023
6:14 am
Timu ya Taifa “Taifa Stars” imewasili salama nchini Morocco kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa kwenye mji wa Marrakech nchini humo Jumamosi Novemba 18, 2023.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.