Habari za michezo
UONGOZI WA YANGA KUNUNUA KILA GOLI LAKI 5
Staff Desk
November 17, 2023
6:30 am
Makamu wa Rais wa Yanga SC Arafat Haji ameahidi kutoa shilingi laki 5 kwa kila goli ambalo watafunga Zanzibar U15 kwenye mchezo wa fainali kati yao dhidi ya Uganda U15.
Arafat Haji Arafat Haji atashuhudia pamoja na Rais wake wa Yanga SC, Eng. Hersi mechi ya fainali ya michuano ya CECAFA U-15, Kati ya Zanzibar U15 dhidi ya Uganda U15 utakaochezwa saa 9 alasiri Njeru, nchini Uganda.
Mchezo watautama kwenye viwanja vya Kisonge visiwani Zanzibar.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.