Azam FC
MECHI YA AZAM VS GOR MAHIA YAPEPERUKA ISHU IKO HIVI
Staff Desk
November 18, 2023
6:49 am
MCHEZO wa kirafiki baina ya wenyeji, Gor Mahia na Azam FC uliopangwa kufanyika Jumapili Uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi nchini Kenya umefutwa.
Taarifa ya Azam FC imesema kwamba kutokana mchezo huo kufutwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao – sasa watacheza na JKU ya Zanzibar Jumapili Uwanja wa Azam Complex kuamzia Saa 1:00 usiku.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.