Habari za Yanga leo
Habari za michezo

AUCHO AFUNGIWA MECHI TATU,REFA COASTAL UNION NA YANGA WAHUSISHWA NJE NUSU MWAKA

Staff Desk November 18, 2023 7:41 am

KIUNGO wa Kimataifa wa Uganda, Khalid Aucho amefungiwa mechi tatu na kutozwa Faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumpiga kiwiko kiungo wa Coastal Unión, Ibrahim Ajibu katika mchezo baina ya timu hizo mwezi huu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Aidha, refa wa mchezo huo, Emmanuel Mwandembwa wa Arusha amefungiwa miezi sita kwa kosa kutotafsiri Sheria 17 za kandanda kwa ufasaha.

MECHI YA AZAM VS GOR MAHIA YAPEPERUKA ISHU IKO HIVI KUHUSU WACHEZAJI SIMBA KUDAI DAI POSHO ZAO….. UONGOZI WAFUNGUKA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply