Habari za Simba
Habari za michezo

HUU HAPA UZI MPYA WA SIMBA KIMATAIFA

Staff Desk November 22, 2023 2:59 pm

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Novemba 22, 2023 wametambulisha jezi mpya ambazo watazitumia kwenye mechi za Kimataifa.

Kwa mujibu wa mitandao yao ya kijamii, uzi huo kutoka Sundaland, unauzwa shilingi 32,000 kwa jumla na shilingi 40,000 kwa rejareja.

Simba wanatarajia kuanza kuuvaa uzi huo Jumapili hii Novemba 25, 2023 watakapoanza mechi yao ya kwanza ya Makundi ya Klabu Bingwa dhidi ya ASEC Mimosas katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.

MWAMBA WA LUSAKA AMEPATWA NA NINI SIMBA ISHU YA KOCHA MPYA SIMBA NA LINI ATANGAZWA ..UKWELI WA MAMBO HUU HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply