Makubaliano ya Pande zote mbili yamefikiwa baina ya kocha Mellis Medo na Uongozi wa klab ya Dodoma Jiji juu ya kuachana.
Taarifa za kuaminika zimethibitisha kuwa kocha Mellis Medo amepata klabu ya kufundisha yenye maslahi bora zaidi Uarabuni.
Kwasasa Dodoma Jiji ipo chini ya Kocha Msaidizi.
SOMA NA HII ILE ISHU YA AZIZ KI KUTUA YANGA IMEFIKIA HATUA HII AISEE...YACOUBA ATAJWA KUTIA MKONO...