Baada ya Simba kutoa Taarifa za kuachana na Kocha wake Mkuu Roberto Oliveira ‘Robertinho, hatimaye Kocha Daniel Cadena ambaye amepewa majukumu ya muda kukinoa kikosi cha Simba ameanza kazi, akianza kusimamia mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo itakayochezwa katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam, Novemba 9, 2023
Baada ya Simba kutoa Taarifa za kuachana na Kocha wake Mkuu Roberto Oliveira ‘Robertinho, hatimaye Kocha Daniel Cadena ambaye amepewa majukumu ya muda kukinoa kikosi cha Simba ameanza kazi, akianza kusimamia mazoezi ya kujiandaa na mechi dhidi ya Namungo itakayochezwa katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam, Novemba 9, 2023 Timu hiyo sasa itakuwa chini ya kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola huku mchakato wa kutafuta kocha mpya ukiendelea.