Home Habari za michezo KOCHA DODOMA JIJI ATIMKIA UARABUNI KISA KAMILI HIKI HAPA

KOCHA DODOMA JIJI ATIMKIA UARABUNI KISA KAMILI HIKI HAPA

Makubaliano ya Pande zote mbili yamefikiwa baina ya kocha Mellis Medo na Uongozi wa klab ya Dodoma Jiji juu ya kuachana.

Taarifa za kuaminika zimethibitisha kuwa kocha Mellis Medo amepata klabu ya kufundisha yenye maslahi bora zaidi Uarabuni.

Kwasasa Dodoma Jiji ipo chini ya Kocha Msaidizi.

SOMA NA HII  ROBERTINHO ATETA NA WACHEZAJI WAKE KABLA YA KUKUTANA NA YANGA KESHO