Home Habari za michezo LEO UFANYE MKEKA WAKO KUSOMA ODDS HIZI KISHA UJE UNISHUKURU BAADAYE…

LEO UFANYE MKEKA WAKO KUSOMA ODDS HIZI KISHA UJE UNISHUKURU BAADAYE…

Meridianbet

Utamu wa soka Duniani kote unaanza kuanzia leo Ijumaa ambapo tutaenda kushuhudia mitanange kibao kutoka Mataifa mbalimbali ambapo mechi kadhaa zitapigwa kuanzia hii leo huku Meridianbet wakiwa tayari wamekuwekea machaguo kibao hivyo kazi inaki kwako kutengeneza jamvi lako.

Tuanzie hapa nyumbani ambapo Mtibwa Sugar ambaye ndiye kibonde wa ligi atakuwa uwanja wa nyumbani pale Manungu kumenyana dhidi ya JKT Tanzania ambaye yupo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. Timu zote zimepoteza mechi zao za mwisho.  Walima Miwa wamepewa nafasi kubwa ya kuibuka wababe wakiwa na ODDS ya 2.11 kwa 3.14. Suka jamvi lako hapa sasa.

 Huku vijana wa Moalini KMC watakipiga dhidi ya Dodoma Jiji. Timu zote mbili zimetoka kupata ushindi michezo yao iliyopita huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni pointi 3. Nafasi kubwa ya ushindi kapewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.89 kwa 3.77 bashiri sasa.

Saa 1:00 jioni Kagera Sugar atakipiga dhidi ya Tanzania Prisons. Mwenyeji yupo nafasi ya 8 na mgeni yupo nafasi ya 14 huku mara ya mwisho kukutana, Wajelajela walishinda. Je leo mwenyeji kulipa kisasi?

Ndugu mteja wakati unaendelea kufanya ubashiri wa mechi zako kumbuka kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo imekuja na kwanja wa maana yaani unaweza kujishindia hadi shilingi Milioni Mia MBili za Kitanzania 200,000,000 kwa dau lako la buku tuu, endapo utabashiri kwa usahihi mechi zako zote 13. Pia kwa wale wa vitochi au USSD ni rahisi tuu, piga *149*10# na ubashiri na mabingwa wa ubashiri Tanzania sasa.

Ligi kuu ya Italia, SERIE A pia ianarajiwa kupigwa hii leo kwa mchezo mmoja kati ya Bologna FC dhidi ya Lazio Rome. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee na mara ya mwisho walipokutana hakuna aliyekuwa mbabe. Mechi hii ina ODDS KUBWA pale Meridianbet ingaia na ucheze sasa.

LALIGA kama kawaida saa 5:00 usiku Las Palmas atakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid ya Diego Simeone. Ushindi wa Atletico utamfanya akae kileleni kwa tofauti ya magoli huku ikiwa ni mchezo wake wa 11. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 akiwa na pointi zake 14, na wote wametoka kushinda mechi zao zilizopita. Mechi hii imepewa ODDS ya 1.65 kwa 5.29. Ingia meridianbet ubashiri sasa.

Kivumbi kingine kipo kule Ufaransa ambapo LIGUE 1 nayo kutakuwa na mchezo mmoja ambao ni kati ya mabingwa watetezi PSG dhidi ya Montpellier. Mchezo huu utapigwa katika dimba la Parc des Princes huku nafasi ya kuibuka na ushindi akipewa Enrique na vijana wake kwa ODDS ya 1.25 kwa 9.80. Nani kushinda leo hii?

Pale BUNDESLIGA kutakuwa na mbungi kali sana kati ya Darmstadt ambaye yupo nafasi ya 14 dhidi ya Bochum ambaye yupo nafasi ya 16. Tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee huku mwenyeji akipoteza mchezo wake uliopita na mgeni akisare. Mechi hii ina ODDS ya 2.35 kwa 2.79. Unasubiri nini sasa? Beti hapa.

SOMA NA HII  GEITA GOLD NAO WAONYESHA UMWAMBA WA FEDHA KWENYE USAJILI...WAIBOMOA YANGA KILAZIMA...