Home news YANGA KUSHUKA UWANJA WA AZAM COMPLEX KESHO

YANGA KUSHUKA UWANJA WA AZAM COMPLEX KESHO


KIKOSI cha Yanga kesho kina kazi ya kupasha misuli mbele ya JKU SC katika mchezo wa kirafiki wenye lengo la kujiweka sawa kwa ajili ya mwendelezo wa ligi.

Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu,  Nasreddine Nabi mpango kazi wa kwenda Arusha kwa ajili ya kambi umevunjwa hivyo watabaki hapahapa Dar es Salaam.

Itakuwa nj Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku mchezo huo wa kirafiki unatarajiwa kuchezwa. 

Kiingilio katika mchezo huo mzunguko ni buku tatu pekee, (3,000) na VIP 5,000.

SOMA NA HII  MANGUNGU:- TUTAWAFUNGA YANGA MPAKA SIKU NAONDOKA SIMBA....