Cecafa Cup

TANZANIA U18 YATAMBA UBINGWA CECAFA

Staff Desk December 8, 2023 2:23 pm

TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 18 imeshika nafasi ya tatu katika michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) baada ya kuifunga Rwanda kwa mabao 3-1.

Mchezo huo umefanyika uwanja wa Jomo Kenyatta, Kisumu Kenya.

FULLTIME

Rwanda U18 🇷🇼 1️⃣3️⃣ 🇹🇿Tanzania U18
Zidane Ally ⚽️
Said Said ⚽️
Mshetu⚽

Fainali ya michuano hiyo inafanyika leo kati ya Uganda na Kenya.

TUNAANZIA HAPA!…GAMONDI MZUKA,MATAJIRI WASHTUA HUU MPANGO WA SIMBA WAWATISHA MABEKI WYDAD

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply