Habari za michezo
KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA MOROCCO AMPIGA KIKUMBO BENCHIKHA CAF
Staff Desk
December 12, 2023
2:59 pm
Kocha timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2023 baada ya kuiongoza Morocco kumaliza nafasi ya nne kwenye michuano ya kombe la Dunia la Qatar 2022.
Regragui amewashinda kocha wa Simba SC, Abdelhak Benchikha na Aliou Cisse wa Senegal.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.