Habari za michezo

RASMI KIRAKA WA SOKA NI MWANANCHI

Staff Desk December 17, 2023 9:38 am

Klaby ya Yanga imekamilisha usajili na kumtambulisha rasmi kiungo wa boli, Shekhan Ibrahim Hamis kutoka JKU ya Zanzibar.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18, amepewa mkataba wa miaka mitatu kuwenda kuongeza nguvu katika kikosi Wananchi.

Huo ni usajili wa kwanza kwa Yanga SC katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo msimu huu.

HIVI NDIVYO SIMU YA ENG HERSI ILIVYOTIBUA DILI LA ‘TRY AGAIN’ NA SIMBA YAKE… JAMANI KUMBE GUARDIOLA NI MTU KAMA WATU WENGINE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply