Kuelekea mchezo wa Young Africans dhidi ya Medeama siku ya Jumatano, klabu hiyo ina mpango wa kumleta msanii wa Hiphop Chid Benz kwaajili ya kutoa burudani kwa mashabiki watakao jitokeza kwenye mchezo huo.
“Yanga imesheheni burudani, ndani na nje ya uwanja. Kwa mfano tumekuwa tukipata burudani kutoka kwa DJ Ally B. Wasanii wote wakubwa Tanzania ni Yanga. Niwahakikishie nitapambana kwenye mechi ya Medeama tumpate Chidy Benzi. Tunataka Dar es Salaam isimame” Ally Kamwe.
Goma gani la Chid Benz utatamani alipige siku hiyo
SOMA NA HII SAFARI YA YANGA YAINGIA DOSARI...WAKWAMA AIRPORT ZAIDI YA MASAA 12...ISHU NZIMA IKO HIVI