Home Habari za michezo KUELEKEA SIKUKUU HIZI…MERIDIANBET WANAKUPA ZAWADI YA SIMU KWA KILA MKEKA UTAKAOWEKA…

KUELEKEA SIKUKUU HIZI…MERIDIANBET WANAKUPA ZAWADI YA SIMU KWA KILA MKEKA UTAKAOWEKA…

Meridianbet

Eeeh bwana wee Meridianbet hawana shughuli ndogo hata kidogo kwani wamekuja na Promosheni babkubwa kipindi hichi cha sikukuu ambapo moja kwa moja itakwenda kuwaangukia wateja wa Kasino mitandaoni.

Kama mteja wa Meridianbet na unacheza michezo mbalimbali ya Sloti basi una nafasi kubwa ya kujishindia Samsung A32 ambayo ndio zawadi kwa mshindi wa kwanza katika Promosheni hii huku mshindi wa pili akishinda Samsung A23 na mshindi wa tatu atawekeza kiasi cha shilingi laki tano ya bonasi kwenye akaunti yake.

Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uweze kujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichi cha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promosheni mbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kama Book of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakiweka Promosheni mara kwa mara kwa wateja wao, Lakini kipindi hichi cha sikukuu Promosheni zimekua babkubwa zaidi kwa wateja wa Meridianbet ambapo promosheni zimekua nyingi kuanzia kwa Kasino Mitandaoni mpaka kwenye michezo ya kawaida.

Mteja wa Meridianbet atapaswa kucheza michezo ifuatayo ili kuweza kushinda katika promosheni hiyo Battle for the Throne, Book of Egypty, Bounty Hunters, Spinning Biddha, The Book of Eksimo na hii ni baadhi ya michezo hiyo ipo mingi zaidi ya hii ambayo itakwenda  kumpa ushindi mteja wa Meridianbet.

Promosheni hii imeanza mwezi huu wa 12 tarehe 20 ambapo itadumu kwa siku kumi na tatu kwani itafika tamati mwezi wa kwanza tarehe 02 mwaka 2024, Hivo wateja wote watatakiwa kuhakikisha wanacheza kwa wingi michezo ya kasino mitandaoni ndani ya siku hizi ili kujinyakulia zawadi.

Promosheni hii ina vigezo na masharti yake kama ilivyo promosheni zingine ambazo zimekua zikiandaliwa na Meridianbet, Kwanza kabisa unapaswa kua na akaunti ya Meridianbet, Mteja anapaswa kushiriki kupitia akaunti moja,Meridianbet inabakia na haki ya sheria za ofa wakati wowote lakini pia ina uwezo wa kusitisha ofa hiyo.

Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uweze kujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichi cha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promosheni mbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kama Book of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  MCHONGO WA KING KIBA KUPERFORM LEO KUMBE FIFA WANAHUSIKA AISEE...ISHU IMEKAA HIVI...