Habari za Yanga
Habari za michezo

MWAMNYETO ALIANZISHA YANGA… ATAKA KUTUMKIA HUKU

Staff Desk December 24, 2023 12:22 pm

Taarifa kutoka kwa watu wa Nahodha wa kikosi cha Yanga Sc, Bakari Mwamnyeto zinaeleza kuwa huenda akatimka ndani ya kikosi hicho cha wananchi mwishoni mwa msimu huu.

Mkataba wa Mwamnyeto na Yanga utafikia ukingoni mwishoni mwa msimu huu wa 2023/24 na taarifa zinaeleza kuwa zipo timu mbalimbali kutoka Morocco na Algeria zimeanza kuwinda saini ya nyota huyo.

Hadi sasa hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika kati ya Yanga na Mwamnyeto ya kutaka kumuongezea mkataba beki huyo ili aendelee kuwatumikia wananchi.

HUU HAPA MUONEKANO MPYA WA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR DOH GUARDIOLA NDIO BASI TENA MAN CITY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply