Habari za Simba
Habari za michezo

KUHUSU ISHU YA KUPISHA USAJILI MPYA….MIQUISSONE AWADINDIA MABOSI SIMBA….

admin December 31, 2023 2:16 pm

Klabu ya Simba kwenye dirisha hili la usajili inahitaji kufanya maboresho kwa kufanya maingizo ya nyota wapya wa kigeni watakaokuja kuongeza nguvu kwenye kikosi chao.

Ili maingizo hayo yafanyike ni lazima waachane na baadhi ya nyota wa kigeni kwani kikanuni tayari wametosha.Sheria za Ligi kuu zinaitaka klabu moja kuwa na wachezaji [12] pekee wa kigeni.

Nyota ambao walitakiwa kupunguzwa ni pamoja na Luis Miqquisone ambaye hajawa na makali tangu alipojiunga na kikosi hicho.Simba ilipanga kumtoa kwa mkopo ili akaimarishe kiwango chake lakini nyota huyo amegoma.

Luis amewaambia wadosi kuwa anataka kuendelea kusalia kikosini hapo na huenda akarejesha kiwango chake kama awali.

HUKO SIMBA NAKO PA MOTO BALAAH….MASHINE HII YA MAGOLI KUTOKA COLOMBIA KUTUA TZ MUDA WOWOTE.. SOKA ‘KHARAM’ LA BENCHIKHA LAKOMBA MASTAA WOTE WA SIMBA KWENDA ZNZ….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply