Home Habari za michezo MFALME WA ODDS ZA UHAKIKA MERIDIANBET ATUA MBAGALA KWA KISHINDO….BALAA LAKE HILI...

MFALME WA ODDS ZA UHAKIKA MERIDIANBET ATUA MBAGALA KWA KISHINDO….BALAA LAKE HILI HAPA..

Meridianbet

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo wamepita kwingi lakini leo wameangukia Mbagala Rangi Tatu, Jambo lililowapeleka eneo hilo ni moja tu kuhakikisha wanatoa msaada kwa wajasiriamali wadogowadogo wa eneo hilo.

Wajasiriamali wadogowadogo wa eneo hilo wamefanikiwa kupatiwa miamvuli kutoka Meridianbet ambayo itawasaidia katika shughuli zao za kila siku, Kwani itawasaidia katika kujikinga na mvua kipindi hichi lakini hata kwenye jua pia.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Kurudusha kwa jamii ni moja ya jambo ambalo limepewa kipaumbele sana katika kampuni ya Meridianbet, Kwani wamekua wakifanya hivi kwa miaka mingi sasa kuhakikisha jamii yake inapata angalua kidogo ambacho wamekua wamekipata.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hilo alisema Tunayo furaha kubwa kufika hapa Mbagala Rangi Tatu na kutoa msaada wa miamvuli kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ukiachana mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram kuzungumza, Lakini moja ya mjasiriamali wa eneo hilo alipata nafasi ya kuzungumza na kushukuru kwa msaada walioupata “Tunapenda kuishukuru sana Meridianbet kwa kutukumbuka na kufika hapa kutupatia Miamvuli ambayo itakwenda kutusaidia kwenye shughuli zetu za kila siku”

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUMFUKUZA...SIMBA WAMTAJA TENA PABLO...AHMED ALLY AFUNGUKA JINSI WATAKAVYOMTUMIA KIMKAKATI...