Home Habari za michezo SARE YA YANGA vs AL AHLY ILIVYOMNEEMESHA PACOME…..HII NDIO KUFA KUFAANA SASA

SARE YA YANGA vs AL AHLY ILIVYOMNEEMESHA PACOME…..HII NDIO KUFA KUFAANA SASA

Habari za Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameshinda bao bora la wiki katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa mwisho wa wiki.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua ameshinda bao bora la wiki katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika zilizochezwa mwisho wa wiki. Pacome alifunga bao hilo la kusawazisha na la kwanza kwa Yanga katika mchezo w kundi D uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo uliomaliza kwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly

SOMA NA HII  YANGA YA GAMONDI SASA MBELE YA SIMBA CAFCL