Home Habari za michezo KAMATA ODDS ZA MECHI ZA LEO HII …HAKIKISHA MKEKA WAKO UKO MERIDIANBET….

KAMATA ODDS ZA MECHI ZA LEO HII …HAKIKISHA MKEKA WAKO UKO MERIDIANBET….

Meridianbet

Ligi Mbalimbali zinatarajiwa kuendelea hii leo ambapo wewe kama mteja wa meridianbet huenda leo hii ikawa ndiyo siku yako ya kupuna mkwanja wa uhakika kwa dau lako dogo tuu. Unasubiri nini? Weka pesa na utengeneze jamvi lako hapa.

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1 kitawaka haswa hii leo ambapo AS Monaco atakiwasha dhidi ya Stade Reims huku mechi hii ikipewa ODDS nono sana. Ingia na ujionee nani anakupatia mkwanja leo. Mechi ya mwisho kukutana, Monaco alishinda. Beti sasa. Mechi Hii mpe Monaco au Over 1.5

Huku saa 5:00 usiku kutakuwa na mechi ya Stade Rennes dhidi ya OGC Nice ambaye kapewa ODDS 3.09 kwa 2.36. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 16. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni wa 2. Suka mkeka wako kijanja hapa. Mechi hii Mpe OGC Nice au weka Over 1.5

Tukiimulika ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA hii leo kutakuwa na michezo mingi ya kukupatia pesa, RB Leipzig atakipiga dhidi ya Eintracht Frankfurt ambaye yupo nafasi ya 6. Mara ya mwisho walipoonana RB alishinda. Nani kuibuka na ushindi leo? Beti sasa.Mechi hii mpe RP Leipzig au weka Under 2.5

Ukiachana na michezo ya Ligi meridianbet pia inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Union Berlin atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya SC Freiburg huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 11. Mwenyeji amepewa ODDS 2.07 kushinda mechi hii huku mgeni akipewa 3.43. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa., Mechi hii weka Over 1.5

Naye kinara wa Bundesliga Bayer Leverkusen atakuwa mgeni wa FC Augsburg  ambaye amepewa ODDS 6.66 kushinda leo hii. Vijana wa Alonso ,mechi ya kwanza walipasuka. Leo watalipa kisasi? Mechi hii weka Over 1.5

Mechi ya mwisho leo hii Ujerumani ni hii inayowakutanisha Borussia Dortmund dhidi ya SV Darmstadt ambaye ndiye kibonde wa ligi. Borussia kushinda na ODDS 1.52 kwa 5.29. Suka jamvi  hapa. Mechi hii weka Over 3.5

EPL, leo itapigwa michezo miwili pekee na mchezo wa mapema sana ni ule saa 9:30 wa vijana wa Darajani Chelsea dhidi ya Fulham. Mara ya mwisho kukutana The Blues walishinda. Je leo hii mgeni kulipa kisasi. Mechi hii imepewa ODDS 1.60 kwa 5.29. Bashiri sasa. Mechi Hii weka Over 2.5

Mechi nyingine ya Ligi kuu ya Uingereza ni kati ya wenyeji Newcastle United dhidi ya Manchester City majira ya saa 2:30 usiku. Mechi ya mkondo wa kwanza Pep Guardiola na vijana wake waliondoka na ushindi mwembamba. Eddie Howe kushinda mechi hii amepewa ODDS 5.09 kwa 1.59. Wewe beti yako unaiweka wapi? Mechi hii weka Over 1.5

Tunatua pale LALIGA, Uhispania ambapo Jumamosi ya leo mechi kibao zitapigwa katika viwanja mbalimbali ambapo UD Las Palmas atakuwa mwenyeji wa Villarreal huku wote wakiwa wamepoteza mechi zao zilizopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 6. Bashiri na meridianbet sasa. Mechi hii mpe Villarreal au Over 0.5

Huku saa 2:30 Athletic Bilbao watakiwasha dhidi ya Real Sociedad San Sebastian, huku ushindi wa mwenyeji utampleka hadi nafasi ya 3. Bilbao amepewa ODDS 2.02 kwa 3.87. Suka jamvi lako sasa. Mechi hii weka Over 1.5

Usiku kabisa wa leo hapa nazungumzia saa 5:00, Real Betis ambaye yupo nafasi ya 7 atakuwa mwenyeji wa Granada ambaye yupo nafasi ya 19. Mgeni kwenye mechi ambazo kacheza kashinda mbili pekee. Je leo ataambulia nini? Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa 4.80. Jisajili  Sasa.

SERIA A, nayo itatimua vumbi ambapo saa 11:00 jioni bingwa mtetezi Napoli ambaye amekuwa hana mwenendo mzuri atakuwa pale Diego Armando Maradona atakiwasha dhidi ya US Salernitana  ambao ndio vibonde wa ligi. Wote wametoka kupoteza mechi zao zilizopita. Nani leo kuondoka na pointi 3? Beti sasa.

Saa 2:00 naye Hellas Verona ataumana na Empoli FC huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1. Walipokutana mara ya mwisho Verona alishinda. Je mgeni kulipa kisasi leo? Suka mkeka wako na meridianbet.

Mechi kumaliza Jumamosi itakuwa ni ile ya kinara wa ligi Inter Milano dhidi ya AC Monza ambaye amepewa ODDS 6.66 kwa 1.46. Milana nataka ushindi huu leo azidi kujiimarisha kileleni. Je Mwenyeji atamzuia?. Tandika jamvi lako sasa.

SOMA NA HII  GAMONDI ATESWA NA NGAO YA JAMII, AWAFUNGIA MASTAA NDANI, AKILI YOTE SASA KIMATAIFA