Home Habari za michezo ODDS ZA AFCON LEO ZIMEKUJA NA UHAKIKA WA USHINDI WA KIBUNDA…WEKA MKEKA...

ODDS ZA AFCON LEO ZIMEKUJA NA UHAKIKA WA USHINDI WA KIBUNDA…WEKA MKEKA WAKO SASA..

Meridianbet

Ndugu mteja wa meridianbet kama unataka utajiri basi muda ndio huu wa kukusanya maokoto kwenye mechi hizi za AFCON ambazo zimetaradadi wachezaji wakubwa kabisa amabo wanacheza Ligi mbalimbali kama vile EPL, LIGUE 1, LALIGA na nyingine kibao. Suka jamvi lako sasa.

Leo hii mabingwa watetezi Senegal wao wataanza kusaka Kombe hili kwa kuchuana vikali na cha Gambia ambao wanaonekana kuwa na mzigo mzito hii leo wa kushinda mechi hii kutokana na ODDS ambazo wamepewa yani 11.76 kwa 1.27. Lakini mpira unadunda na kila timu imekuja kupambana. Wewe unayesaka maokoto unafikiri pesa yako utaiweka kwa nani kati ya hwa akupatie mkwanja?. Beti hapa.

Vilevile, huku ukiendelea kubeti mechi hizo za AFCON, kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo kwaajili ya kukupatia pesa za fasta kama vile, Aviator, Poker, Roulette, Rocketman na Sloti. Weka pesa bashiri hapa.

Utamu wa michuano hii utaenda mpaka kiwanja cha Charles Konan Banny ana kushuhudia nchi anayotoka nguli wa Soka Samuel Eto akishuhudia vijana wake wa Cameroon wakimenyana dhidi ya Guinea. Mechi hii imepewa ODDS 2.16 kwa 3.92. Lakini kumbuka kuwa Cameroon ni moja ya Nchi ambayo inapewa sana nafasi ya kuwa mshindani wa Kombe hili. Bashiri sasa.

Mechi nyingine ya pesa leo ipo Kundi D ambapo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Algeria dhidi ya Angola. Huku watu wengi wakitaka kujua nini Riyad Mahrez na timu yake watafanya leo, wewe nenda Meridianbet beti mechi hii ambayo imepewa ODDS 1.55 kwa Algeria na 6.46 kwa Angola. Asikwambie mtu pesa ipo hapa. Jisajili na ubeti.

SOMA NA HII  AHMED ALLY: KIBU DENIS HAPASWI KUPEWA PRESHA...AKIPATIA ATAPATIA, AKIKOSEA ATAKOSEA TENA...