Home Habari za michezo SANYA SANYA YA MAOKOTO YA JANUARI LEO IKO NA ODDS HIZI ZA...

SANYA SANYA YA MAOKOTO YA JANUARI LEO IKO NA ODDS HIZI ZA UHAKIKA KUTOKA MERIDIANBET..

Meridianbet

Mwaka ni mpya lakini maelekezo ni yale yale ndani ya Meridianbet kwani hawajabadilisha chochote, Wateja wanaendelea kuburudika na ofa mbalimbali pamoja na mikwanja ambayo wanapiga kupitia wakongwe hao wa michezo ya kubashiri.

Leo itapigwa michezo kadhaa ya ligi kuu nchini Hispania La Liga na maokoto yataendelea kua ya kutosha, Kwani Meridianbet wamekuweka ODDS KUBWA katika michezo yote ambayo itakwenda kupigwa usiku wa leo.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Hispania klabu ya Barcelona leo watashuka dimbani wakiwa ugenini kukipiga na klabu ya Las Palmas, Huku wakitafuta nafasi ya kwenda nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo baada ya Atletico Madrid kupoteza katika mchezo wa jana dhidi ya Girona.

Kipute kingine kikali kitapigwa pale katika dimba la Ramon Sanchez Pizjuan ambapo klabu ya Sevilla itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Athletic Club moja ya vilabu vinavyofanya vizuri katika ligi hiyo msimu huu, Sevilla wao wametoka mchezo wao wa mwisho ambapo leo watahitaji kushinda ili kujikwmaua kutoka kwenye nafasi za chini.

Mchezo mwingine utakua kati ya klabu ya Osasuna ambao watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Almeria, Klabu ya Almeria mpaka sasa wanashika mkia katika ligi kuu nchini Hispania wakiwa na alama tano hivo kushinda mchezo huu inaweza kuwapa nguvu ya kutaka katika mkiani kwenye ligi hiyo.

Ukiachana na ligi kuu nchini Hispania La Liga lakini leo pia kutakua na michezo mingine ambayo itapigwa na inaweza kuwapa watu mikwnaja na kuanza vizuri mwaka, Ambapo Juventus watashuka dimbani leo katika mchezo wa Coppa Italia kukipiga dhidi Salernitana, Huku Crystal Palace wakikipiga dhidi ya Everton katika mchezo wa raundi ya tatu wa michuano ya kombe la FA.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia https://a.meridianbet.co.tz/c/QARU7i na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  MATOLA AKIRI KUSEPA SIMBA...JUMA KASEJA KURUDI KUNDINI...KOCHA WA VIUNGO HUYU HAPA...