Home Habari za michezo WAKATI AFCON IKIZIDI KUMWAGA MAMILIONI ….MADRID HUKO KINAUMANA…ODDS ZOTE HIZI HAPA..

WAKATI AFCON IKIZIDI KUMWAGA MAMILIONI ….MADRID HUKO KINAUMANA…ODDS ZOTE HIZI HAPA..

Meridianbet

Meridianbet inatarajia kutoa mkwanja wa uhakika hapo baadae ukibashiri kwa usahihi mechi zako zote kwa dau ambalo utakuwa umeweka. AFCON, Copa del Rey zote kupigwa leo. Unasubiri nini weka mkeka wako sasa.

Moja ya Derby kali ni hapa ambapo itawakutanisha kati ya Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid majira ya saa 5:00 usiku. Hii ni Madrid derby ambayo inakutanisha timu mbili zenye uwezo mkubwa na mara ya mwisho kukutana, Atletico aliumizwa kwa kukosa Kombe. ODDS 2.32 amepewa Madrid kushinda huku Diego Simeone na vijana wake wakipewa 2.84. Je nani ataondoka na ushindi leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Mchezo mwingine utakuwa ni kati ya Unionistas de Salamanca FC dhidi ya FC Barcelona ambayo ndio wanapewa nafasi ya kushinda na meridianbet wakiwa na ODDS ya 1.13 kwa 16.66. Timu hiyo inashiriki ligi daraja la pili. Je inaweza kuwafunga Xavi na vijana wake leo. Jisajili na ubeti.

Pia meridianbet inakukumbusha kuwa kuna uwezekano wa kupiga pesa haraka sana ukicheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Rocketman, na Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Pia AFCON itawaka kama kawaida ambapo zitakuwa ni mechi za raundi ya pili na timu zote zinataka ushindi kwa hali na mali.

AFCON na utamu wake unaendelea hii leo ambapo Equatoria Guinea atakichapa dhidi ya Guinea Bissau ambaye alipoteza mchezo uliopita. Na leo hii amepewa ODDS 3.23 kwa 2.50 kushinda mechi hii mbele ya Equatoria ambaye alishinda mchezo uliopita. Je leo hii nani ataondoka na ushindi?. Beti mechi hii sasa.

Naye mwenyeji wa michuano hii Ivory Coast itamenyana na Nigeria  ambao walipata sare mchezo wao uliopita. Ivory alipata ushindi mchezo uliopita na leo Meridianbet wamempa 2.12 kushinda mechi hii kwa 3.57. Je Victor Osimhen anaweza kuibeba timu yake kupata alama 3?. Suka jamvi lako sasa.

Usiku wa saa 5:00 Egypt uso kwa uso dhidi ya Ghana kuwania pointi tatu ambazo timu zote hazijazipata kwenye mechi zao za kwanza. Salah na wenzake waliambulia sare huku Andre Ayew na wenzake walipoteza. Mechi hii imepewa ODDS 1.96 kwa Misri kushinda na 4.21 kwa Mghana kushinda. Wewe beti yako unaiweka wapi kati ya timu hizi mbili?.

SOMA NA HII  KISA GOLI LA SAMATTA JANA ...KIM POLUSEN AJIKUTA AKICHEKELEA 'KOONI'..AFUNGUKA HAYA ...