Home Habari za michezo BAADA YA KUFUNGA JANA….CHAMA KATUPA ‘DONGO HILI LA GIZANI’ NDANI YA SIMBA…

BAADA YA KUFUNGA JANA….CHAMA KATUPA ‘DONGO HILI LA GIZANI’ NDANI YA SIMBA…

Habari za Simba leo

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama ni kama amewatupia vijembe walinzani wao kwa kudai kuwa mpaka waseme baad ya ushindi katika mchezo wa kuhitimisha mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania.

Chama alifunga bao pekee lililoipa Simba ushindi na kuvuna alama tatu muhimu kwa kukusanya alama mchezo huo uliochezwa uwanja wa Maj General Isamahyo, uliopo Mbweni, Dar-es-Salaam.

Kwa mujibu wa kiungo huyo kuwa amefanikiwa kuwa sehemu ya mchango kushirikiana na wachezaji wenzake kuvuna ushindi mwingine katika mchezo huo muhimu dhidi ya JKT Tanzani, matokeo ambayo yanaendelewa kuwaweka katika nafasi nzuri ya mbio za ubingwa.

Amesema haikuwa mechi rahisi kwa sababu ya uwanj haukuwa mzuri sana na wangetakiwa kupewa muda wa kuboresha lakini kutokana na uchache wa viwanja hatuna jinsi, kikubwa kwetu tumevuna pointi tatu

Nina furaha kusaidia timu yetu kupata ushindi mwingine na kufunga bao lingine la pili katika mchezo mwingine muhimu kwa timu yetu na kuendelea kuwapa furaha mashabiki wetu, kwa kutengeneza mazuri kutoka kwetu,” amesema Chama.

Ameongeza kuwa malengo yao makubwa ni kuona Simba inafikia malengo yake, tangu kuanza kwa msimu hawakua vizuri na sasa wameanza kujipata anaimani kwa nafasi ya pili sio mbaya kwa sababu wamepitwa pointi nne na anateongoza ligi jambo ambalo bado ligi inaendelea na mbele inaweza kutokea lolote.

Kuhusu mashabiki wa Simba, Chama ameeleza kuwa wategemee mambo mazuri kutoka kwake pamoja na ushirikiano mkubwa kwa wachezaji wenzake kupambanai timu yao kufikia malengo wanayotarajia.

Chama amekuwa sehemu ya mchango mkubwa ndani ya kikosi cha Simba kwa kusrikiana na wachezaji wenzake hiyo ikiwa ni mechi yake ya pili kufunga bao muhimu.

Boa la kwanza baada ya kurejea kwa ligi alifunga katika mchezo dhidi ya Azam FC kwa kutoka sare ya bao 1-1 lakini pia amekuwa msaada wa kuchangia mabao yaliyopatikana kati ya mechi na Tabora United Simba iliibuka na ushundi wa mabao 4-0 akitoa pasi bao la kwanza limefungwa na …..

Kwa matokeo ya mechi ya juzi dhidi ya JKT Tanzania, Simba imejiimarisha kwenye nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 36 huku Yanga wakiongoza kwa alama 40, timu zote zikicheza mechi 15 za mzunguko wa kwanza kukamilika.

SOMA NA HII  HUKU NI KUSHINDA TU....SHINDA MPAKA MARA 1000 YA DAU LAKO KUPITIA CASINO HII YA MERIDIANBET