Home Habari za michezo YANGA WAIZIDI SIMBA KWA UTAJIRI AFRIKA…TAKWIMU HIZI HAPA…

YANGA WAIZIDI SIMBA KWA UTAJIRI AFRIKA…TAKWIMU HIZI HAPA…

Yanga SC na Simba SC

Tovuti maarufu ya takwimu za mpira wa Miguu Duniani (OPTA ANALYST) imetoa orodha ya vilabu vyenye kujiweza kifedha (utajiri) na ubora barani Afrika kwa Mwaka 2024 Africa’s Best Football Clubs (Financialy and Quality – 2024)

Orodha ipo kama ifuatavyo :

1. Mamelodi Sundowns

2. Al Ahly

3. Raja Casablanca

4. FAR Rabat

5. CR Belouizdad

6. Young Africans SC

7. Esperance

8. MC Alger

9. Pyramids FC

10. Wydad Casablanca

11. Petro de Luanda

12. Simba SC

13. USM Alger

14. RS Berkane

15. FUS Rabat

Inaelezwa kuwa Yanga imepanda kwenye nafasi hiyo kwa kuzingatia uwiano wake wa kununua na kuuza wachezaji, ambapo kwa takwimu za hizi karibuni imeaiacha Simba mbali.

Yanga kwenye misimu mitatu nyuma imenunua ‘cash’ wachezaji zaidi ya watano, huku Simba wakisajili wachezaji wengi wakiwa wamemaliza mikataba au kuachwa kwenye timu walizotoka.

Chama lako lipo nafasi ya ngapi?

SOMA NA HII  A-Z JINSI INJIA HERSI ALIVYOWATIMULIA VUMBI SIMBA KWENYE ISHU YA MUDATHIR....