Home Habari za michezo LIGI YA MABINGWA ULAYA KINAWAKA USIKU WA LEO….

LIGI YA MABINGWA ULAYA KINAWAKA USIKU WA LEO….

Kunako ligi ya mabingwa ulaya leo kinawaka kwani inaenda kupigwa michezo mikali kabisa hatua ya 16 bora mzunguko wa pili ambayo itatoa taswira ya nani atasonga mbele kwenye hatua inayofuata.

Wanafainali ya ligi ya mabingwa ulaya klabu ya Inter Milan leo watakua ugenini kukipiga dhidi ya klabu ya Atletico Madrid, Huku Borussia Dortmund wao watakua nyumbani atika dimba lao la Signal Iduna Park kuwakaribisha PSV Eindhoven.

Klabu ya Atletico Madrid chini ya kocha Diego Simeone leo watakua nyumbani katika dimba lao Wanda Metropolitano wakiikaribisha klabu ya Inter Milan vinara wa ligi kuu nchini Italia Serie A.

Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ulipigwa pale katika dimba la Giussepe Meazza awiki mbili zilizopita, Huku Inter wakichomoza na ushindi wa goli moja kwa sifuru hivo leo Atletico watahitaji kupata ushindi wa kuanzia mabao mawili kwa bila ili waweze kusonga mbele.

Mchezo huu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kwani vilabu vyote vina uwezo wa kusonga mbele katika hatua inayofuata, Lakini pia aina ya uchezaji wa vilabu hivo inafanana pia hii inachangia mchezo kua mgumu zaidi baina ya vilabu hivo.

Vita nyingine kwenye mchezo huu itakua ni vita ya kimbinu baina ya makocha wawili wa vilabu hivo kocha Diego Simeone wa Atletico Madrid na Simeone Inzaghi wa Inter Milan,Makocha hao wanatumia wote watumia  mfumo wa 3-5-2 kwenye kupangilia timu zao jambo ambalo linafanya mchezo huu kua mgumu zaidi. Mchezo huu mkali upo pale kwenye tovuti ya Meridianbet na umepewa ODDS KUBWA.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Mchezo mwingine mkali wa ligi ya mabingwa ulaya utakaopigwa leo utakua kati ya Borussia Dortmund ambao watakua nyumbani pale Signal Iduna Park dhidi ya PSV Eindhoven, Mchezo huu pia upo wazi kwa yeyote kufuzu hatua ya robo fainali kwani mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya goli moja kwa moja.

SOMA NA HII  HAWA CLUB AFRICAIN WAPINZANI WA YANGA CAF...KIKOSI CHA TU NI ZAIDI YA BIL 21...