Azam FC
Azam FC

RASMI AZAM FC YATOA TAMKO HILI…KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MUUNGANO

Marce Ben Komba April 17, 2024 11:24 am

Klabu ya Azam FC yenye maskani yake Jijini Dar es Salaam imetibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2024.
Kupitia taarifa Rasmi ya Klabu, Azam imeandika;

“Tunathibitisha tutakuwa sehemu ya timu zitakazoshiriki michuano ya Kombe la Muungano, itakayoanza kutimua vumbi kuanzia Aprili 23 hadi 27, 2024, visiwani Zanzibar”.

RAIS LA LIGA:- “ONYO BARCELONA HAMUWEZI KUNUNUA MCHEZAJI MNAYEMTAKA…MASTAA KUUZWA SIMBA YAINGIA MITINI…YANGA YAPATIWA USHINDI WA MEZANI…VURUGU WACHEZAJI NA POLISI