RASMI FIFA YATANGAZA...KLABU IKISHIRIKI KOMBE LA DUNIA INAKULA BIL 137...TIMU HIZI ZATAJWA
kimataifa

RASMI FIFA YATANGAZA…KLABU IKISHIRIKI KOMBE LA DUNIA INAKULA BIL 137…TIMU HIZI ZATAJWA

Marce Ben Komba April 20, 2024 11:26 am

Rasmi Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) limeweka wazi kuwa kila klabu itakayoahiriki mashindano ya kombe la dunia kwa ngazi ya vilabu itapata kiasi Cha Pesa €50 milioni sawa na shilingi bilioni 137 za kitanzania.

Huku klabu ambayo itatwa ubingwa wa michuano hiyo itavuna kiasi cha €100M sawa na shilingi bilioni 275 pamoja na kombe la michuano hiyo.

Kutoka EPL (Uingereza) ni timu mbili pekee ndizo zitashiriki michuano hiyo,Chelsea na Manchester City ambazo zitaungana na vilabu vingine 8 kutoka shirikisho la UEFA huku CAF ikipeleka jumla ya vilabu 4.

AZAM MATATANI KUPOTEZA SILAHA YAO HII…SINGIDA BS YAHUSISHWA…ISHU NZIMA IPO HIVI KUMBE ISHU YA DUBE IPO HIVI…KULIPA FAINI SH M810 ILI KUONDOKA AZAM…KAMATI YASHANGAZWA!!