Azam FC
AZAM MATATANI KUPOTEZA SILAHA YAO HII…SINGIDA BS YAHUSISHWA…ISHU NZIMA IPO HIVI
Marce Ben Komba
April 20, 2024
11:12 am
Klabu ya Singida Black Stars imefungua mazungumzo ya kumsajili mlinzi wa kulia wa Azam Nathaniel Chilambo.
Mkataba wake na Azam umebaki miezi mitatu tu.
Haitokuwa rahisi kwa Azam kubaki nae licha ya kwamba wapo
kwenye mpango wa kumuongezea mkataba mpya.