SHABIKI WA SIMBA AMEITWA NA POLISI...MKASA MZIMA UPO HIVI A-Z
Habari za michezo

SHABIKI WA SIMBA AMEITWA NA POLISI…MKASA MZIMA UPO HIVI A-Z

Marce Ben Komba April 20, 2024 10:57 am

Shabiki wa Simba SC, anayetambulika kwa jina la GB 64 ameitwa Kituo cha Kati (Central) kutoa Maelezo, huku akisema ana wasiwasi huenda akawekwa ndani ya kukosa kuitazama mechi dhidi ya Yanga SC.

Katika video inayotembea mitandaoni inaonesha shabiki huyo aliyejizolea umaarufu akilalamika kuitwa kituoni hapo na huenda akakosa kulitazama pambano hilo litakalochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

KUELEKEA DABI LEO….JULIO AFUNGUKA ALIVYOIKOA SIMBA NA AIBU…”NILIMFUKUZA MATOLA”…. AZAM MATATANI KUPOTEZA SILAHA YAO HII…SINGIDA BS YAHUSISHWA…ISHU NZIMA IPO HIVI