Habari za Simba leo
Habari za michezo

SIMBA YAENDELEA KUIBURUZA YANGA CAF…VIWANGO VIPYA VYATOKA…LIST KAMILI HII HAPA

Marce Ben Komba April 30, 2024 9:30 pm

Kwa mujibu wa mtandao wa africasoccerzone msimamo mpya wa orodha ya vilabu bora Afrika umetoka baada ya michezo ya Nusu Fainali za CAF Champions League na CAF Confederation Cup.

Simba SC ya Tanzania imejikita nafasi ya 7 kwa alama 39 na kuiweka kwenye 10 bora huku Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga SC wako nafasi ya 13 na alama 31.

Ahly bado inashika nafasi ya 1 ikiwa na alama 82, Esperance de Tunis nafasi ya 2 na alama 61 mbele ya Wydad iliyo nafasi ya 3 na alama 60 huku Mamelodi Sundowns ikiwa ya 4 na alama 54, Zamaleki ikikamilisha 5 bora kwa alama 43.

KIUNGO HUYU MSHAMBULIAJI YANGA HALI TETE…MCHAKATO WAANZA KUTIMKIA TIMU HII KAKOLANYA AFUNGUKA A-Z ISHU YAKE NA SINGIDA…”SIKUONDOKA SIKU YA MECHI