Azam FC
Azam FC

SIMBA SC KUMBE NI MAKAO MAKUU YA AZAM FC…AMRI KIEMBA AFICHUA SIRI HII

Marce Ben Komba May 3, 2024 9:43 pm

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Clouds Media, Amri Kiemba amesema kuwa Klabu ya Azam inahofia kuibomoa ngome ya Simba kwa kuchukua wachezaji wao kutokana na ukaribu wao.

Kiemba amesema hayo baada ya Azam kudaiwa kuwa wanataka kusajili baadhi ya wachezaji kutoka Simba wakati wa dirisha kubwa la usajili msimu unaokuja.

Azam FC akitaka waachezaji anachukua Young Africans Sports Club, Simba yeye anaachukua Azam na Yanga. Sijawahi kuona Azam akichukua mchezaji Simba SC Tanzania sio kwamba hawezi ila hataki kubomoa makao makuu yake,” amesema Kiemba.

HOFU YATANDA KWA MASHABIKI SIMBA…WAHOJI YANGA WATAJWA WAFUNGUKA HAYA MENEJA WA KIBU DENIS AWACHANA LIVE SIMBA…KUMBE ISHU NZIMA IKO HIVI