Habari za Simba leo
Habari za michezo

MENEJA WA KIBU DENIS AWACHANA LIVE SIMBA…KUMBE ISHU NZIMA IKO HIVI

Marce Ben Komba May 3, 2024 9:47 pm

Klabu ya Yanga imetuma ofa kwa uongozi wa mchezaji Kibu Denis ambaye amebakiza mkataba wa mwezi mmoja Simba SC.

Winga huyo mpaka sasa hajaongeza mkataba mpya Simba SC licha ya uongozi wa Simba kumfuata mara kadhaa kumsihi asaini mkataba mpya kuendelea kuwatumikia.

Kibu anadaiwa kuwa amekuwa akiwazungusha viongozi kwamba atasaini tu kwa miezi kadhaa sasa.
Akizungumza hilo, Meneja wa Kibu Denis, Carlos Sylvester amesema: “Ni kweli mteja wangu amebakiza mwezi mmoja Simba. Tumepokea ofa mbalimbali kutoka Norway na Africa.

“Signing fee lazima iendane na mshahara, huwezi kutoa signing fee milioni 300 halafu mshahara uwe milioni 2,” amesema Carlos.

SIMBA SC KUMBE NI MAKAO MAKUU YA AZAM FC…AMRI KIEMBA AFICHUA SIRI HII CHEZA PROMO YA NON STOP DROP KUPATA TSH MIL 450/=|SHIRIKI KWA KUCHEZA KASINO…