yanga
YANGA YAMWAGA MAMILIONI KUMSAJILI KIUNGO HUYU MATATA…DUUH!! KUMBE MKATABA UPO HIBI
Marce Ben Komba
May 7, 2024
9:03 pm
Klabu ya Yanga imelipa kiasi cha Tsh 50 Million kupitia account ya Rais wa klabu ya Singida Fountain Gate, Japhet Makau kumsajili kiungo mkabaji Yusuph Kagoma ambaye alikuwa kabakiza mkataba wa mwaka mmoja katika klabu hiyo.
Kagoma atajiunga na Young Africans Sports Club kwenye
dirisha kubwa kuchukua nafasi ya kiungo Zawadi Mauya.
Kagoma anatarajia kusaini kandarasi ya miaka (2) na Yanga wenye kipengele cha kuongeza miaka (2) mingine.