Habari za michezo

SIMBA BAADA YA KUPATA USHINDI…KOCHA MGUNDA AANZA TAMBO HIZI…KAFUNGUKA HAYA

Marce Ben Komba May 8, 2024 9:23 am

Maneno ya Kocha mkuu wa Simba SC Juma Mgunda baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa jana dhidi ya Tabora United ambao Simba waliibuka na usihindi wa bao 2-0.

“Tumepata alama 3 na magoli 2, nawashukuru wachezaji wangu kwq jitihada walisozionesha lakini cha pili nawashukuru wakiokuja kutusapoti.

“Tunajiandaa na mechi nyingine hii tayari imeisha sisi tutashindana haiwi mwisho mpaka ifike mechi ya mwisho, sisi tutaendelea kushindana kuhakikisha tunapata matokeo mazuri mwishoni ndio tuangalie sasa nani ni nani na kipi ni kipi.”

YANGA YAMWAGA MAMILIONI KUMSAJILI KIUNGO HUYU MATATA…DUUH!! KUMBE MKATABA UPO HIBI MCHAMBUZI HUYU MKONGWE…AWAVAA MAREFA  LIGI KIUU…WANAAPIMWA MACHO?