Home Azam FC SIMBA SC KUMBE NI MAKAO MAKUU YA AZAM FC…AMRI KIEMBA AFICHUA SIRI...

SIMBA SC KUMBE NI MAKAO MAKUU YA AZAM FC…AMRI KIEMBA AFICHUA SIRI HII

Azam FC

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Clouds Media, Amri Kiemba amesema kuwa Klabu ya Azam inahofia kuibomoa ngome ya Simba kwa kuchukua wachezaji wao kutokana na ukaribu wao.

Kiemba amesema hayo baada ya Azam kudaiwa kuwa wanataka kusajili baadhi ya wachezaji kutoka Simba wakati wa dirisha kubwa la usajili msimu unaokuja.

Azam FC akitaka waachezaji anachukua Young Africans Sports Club, Simba yeye anaachukua Azam na Yanga. Sijawahi kuona Azam akichukua mchezaji Simba SC Tanzania sio kwamba hawezi ila hataki kubomoa makao makuu yake,” amesema Kiemba.

SOMA NA HII  AZAM FC KUTISHIA USALAMA WA LIGI KUU...VYUMA HIVI MATATA KUSAJILIWA