Home Habari za michezo MERIDIANBET YAFIKA ZAHANI KIBAHA KUTOA MSAADA…

MERIDIANBET YAFIKA ZAHANI KIBAHA KUTOA MSAADA…

Meridianbet

Kampuni ya Meridianbet imeendelea kuhakikisha inarejesha tabasamu kwenye jamii baada ya kufanikiwa kufika eneo la Kibaha leo na kutoa msaada kwenye Zahanati inayofahamika kama Misugusugu.

Umeendelea kua utamadani wa kampuni ya Meridianbet kuhakikisha wanatatua matatizo ambayo yamekua yakiikabili jamii ambayo imekua ikiwazunguka, Leo wamefanya hivo katika Zahanati ya Misugusugu.

Vifaa ambavyo vimeweza kutolewa leo ni pamoja mashuka, Vyandarua, pamoja na vifaa vingine vya usafi ambavyo kwa namna moja ama nyingine vitaweza kusaidia kwa kiwango kikubwa kwenye Zahanati hiyo.

Suka mkeka wako kwenye mchezo huu mkali wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya pamoja na michezo mingine itakayopigwa wikiendi hii. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kaimu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka kampuni ya Meridianbet bwana Abubakar Kulindwa alipata wasaa wa kuzungumza baada kutoa msaada huo โ€œKwanza kabisa nipende kuwashukuru kwa mapokezi mliyotupatia hapa, Lakini pia ninayo furaha kufanya uwakilishi kwa taasisi yangu pendwa kwa kua sehemu hii ya historia ya kutoa msaada katika Zahanati ambao naamini umegusa utagusa miasha ya wengiโ€

Haikuishia hapo kwani Mganga wa Zahanati ya Misugusugu inayopatikana katika eneo la Kibaha bwana Nickson Matoh aliweza kutoa shukrani kwa ambacho kimefanywa na kampuni ya Meridianbet kuwakumbuka na kutoa msaada katika Zahanati hiyo.

SOMA NA HII  BAADA YA KUUWASHA MOTO VILIVYO ....MATOLA AIBUKA NA HILI KUHUSU BANDA NA SAKHO...AFUNGUKA CHANZO CHA KUFELI..