Home Habari za michezo PIGA *149*10# UBETI MECHI ZA EURO NA COPA AMERICA…..USHINDI NI UHAKIKA ….

PIGA *149*10# UBETI MECHI ZA EURO NA COPA AMERICA…..USHINDI NI UHAKIKA ….

Meridianbet

EURO 2024 na COPA AMERICA ndani ya Meridianbet zimekuja kivingine msimu huu ambapo kwa kubashiri na USSD unaweza ukajiweka kwenye nafasi ya kukusanya zawadi kibao. Ingia na meridianbet na ubashiri sasa

Wababe wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuja na promosheni mpya kabisa kwaajili ya michuano mikubwa ya EURO pamoja na COPA AMERICA ambayo inaanza kutimu vumbi. Shinda zawadi kama vile, Bajaj mpya, Bodaboda, TV Inch 55, Laptop aina ya DELL na Samsung A23.

 

JINSI YA KUSHIRIKI PROMOSHENI HII

  • Lazima uwe umejisajili kwa *149*10# Meridianbet uweze kubeti sasa
  • Promosheni hii inaanza leo tarehe 14 June mpaka tarehe 14 July
  • Dau la chini kwa kila tiketi ni shilingi 1000, na timu 3 au zaidi ndizo unazotakiwa kubeti iwe kwenye EURO au COPA AMERICA
  • Unatakiwa ucheze mara nyingi zaidi kujiweka kwenye nafasi ya kushinda zawadi kama vile, Bajaj mpya, bodaboda, Laptop aina ya DELL na Samsung A23
  • Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Hivyo mteja wa Meridianbet unaweza kuanza kusuka jamvi lako hii leo kwenye mchezo wa Ujerumani dhidi ya Scotland ambao utapigwa majira ya saa 4:00 usiku ambapo Nagelsman na vijana wake watakuwa wakisaka pointi za ushindi kwa ODDS 1.25 kwa 10.78. Suka jamvi hapa.

Pata zawadi kibao na EURO 2024 leo hii beti na kitochia ua USSD mechi hizi zinazoanza leo ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Bajaj, bodaboda , Laptop na zingine kibao. Pia unaeza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Pia kesho kutakuwa na timu kibao ambazo zitaendelea na unaweza ukabashiri kwani machaguo yapo kibao. Usipange kukosa zawadi hizi kwani nafasi ni yako, cheza mara nyingi zaidi uibuke bingwa.

Wakati kwa COPA America mashindano haya yanatarajia kuanza wiki ijayo na ukiingia Meridianbet ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana, hivyo kazi ipo kwako ndugu mteja unakosaje zawadi kedekede zinazotolewa na Meridianbet?

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA 'ASFC' LEO...MGUNDA APANIA 'KUUA SISIMIZI KWA RUNGU'...