Home Meridianbet VUTA MKWANJA NA MECHI ZA KIRAFIKI NDANI YA MERIDIANBET LEO…

VUTA MKWANJA NA MECHI ZA KIRAFIKI NDANI YA MERIDIANBET LEO…

Meridianbet

Ndugu mteja wa Meridianbet hivi unajua kuwa Jumamosi ya leo unaweza ukakunjua mpunga na wakali wa ubashiri Tanzania?. Tengeneza jamvi lako la maana leo na uweke dau lako ufaidike na siku ya leo.

Siku ya leo AZ Alkmaar ataumana dhidi ya Uholanzi  dhidi ya Atalanta BC kutoka Italia. Mwenyeji ameshinda mechi zote tano za kirafiki alizocheza. Kwenye ligi yao kule alimaliza nafasi ya 4, wakati wa vijana wa Gasperini wao pia walimaliza nafasi ya 4, na leo Meridianbet wanamfagilia Muitalia kuibuka na pointi tatu kwa ODDS 2.11 kaw 2.60. Tengeneza jamvi hapa.

Vilevile Everton watakua ugenini kupepetana dhidi ya Salford City ambao wanakipiga Uingereza League 2 huku wakimaliza msimu wakiwa kwenye hali mbaya yaani wa 20 kati ya timu 24. The Toffess wao walimaliza nafasi ya 15 pale EPL. 6.66 na 1.26 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Nao Chelsea chini ya kocha mkuu Enzo watakuwa na kibarua cha kumenyana dhidi ya Celtic ya Scotland. Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wanampa The Blues nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.92 kwa 3.04. Wewe unamdhamini nani leo? Bashiri sasa.

Pia bingwa wa Serie A, Inter Milano watapimana nguvu na Las Palmas ya Hispania. Mechi hii imepewa machaguo makubwa na odds za maana yaani ni 1.49 kwa 4.70. Ingia sasa kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako hapa.

Jumamosi ya Leo bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Hull City anayekipiga kule ligi daraja la kwanza ataumana dhidi ya Newcastle United ambapo tiimu hizi zote zinatokea Uingereza kasoro ligi tofauti ambazo wanacheza. Mwenyeji anakipiga Championship, yaani ligi daraja la kwanza na vijana wa Howe wapo ligi kuu pale. Meridianbet wamempa nafais kubwa ya kushinda Magpies kwa ODDS ya 1.51 kwa 4.41. Je wewe beti yako unaiweka wapi kati ya hizi timu mbili?. Beti sasa.

Mbungi ya maana itakuwa hii ya Lazio dhidi ya Hansa Rostock kutoka kule Ujerumani anayekipiga Bundesliga 2. Vijana hawa Italia ambao wana kocha mpya Marco Baroni wanahitaji kujiweka vyema kwaajili ya msimu ujao. Mwenyeji kwenye mechi mbili za kirafiki alizocheza ameshinda 1 na kupoteza 1. Huku Lazio yeye akishinda mechi moja na sare moja. 5.09 na 1.41 ndio ODDS ya mechi hii. Jisajili sasa.

Wakati huo huo VFL Wolfsburg kutoka Ujerumani Bundesliga kule atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Hannover 96 wa Bundesliga 2. Timu hiyo inayoshiriki ligi kuu imecheza mechi mbili za kirafiki ikishinda moja na kupoteza moja, huku mwenyeji wake akicheza mechi tano za kirafiki akishinda nne, na kwenye ligi alimaliza nafasi ya 6. 2.69 kwa 2.04 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.

Nao Torino wanatarajiwa kujifua na US Cremonese huku odds za timu hizi mbili zikiwa zimesimama balaa ni wewe tuu unatakiwa kusuka jamvi lako na kubashiri mechi zako za uhakika. Mwenyeji kapewa nafasi ya kushinda kwa 1.73 kwa 3.82. Wewe unamuamini nani akupe mkwanja leo?. Jisajili hapa.

Unaweza ukabashiri mechi ya Preston North End vs Fiorentina  ya Italia. Preston amazon wanakipiga kule Championship walimaliza nafasi ya 10 msimu uliopita huku wakicheza mechi za kirafiki mbili hadi sasa wakishinda mechi moja na sare moja. Mgeni yeye ameshinda meci mbili na sare 1. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Maokoto yatamwagika mechi ya Udinese Calcio vs FC Cologne ya kule Ujerumani Bundesliga. Mwenyeji anapewa nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.18 kwa 2.60 leo. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani kati ya timu hizi mbili?. Suka jamvi hapa.

Okoto mkwanja mechi ya Union Berlin dhidi ya Glasgow Rangers ya Scotland ambao wamekuwa na msimu bora kabisa wakimaliza nafasi ya 2 huku kwa mwenyeji yeye akimaliza nafasi ya 15 na pointi zake 33. Meridianbet wameweka machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii. Unasubiri nini?. Ingia na ubashiri hapa.

Leo hii pia kutakuwa na mtanange wa maana kati ya AS Roma dhidi ya Toulouse FC ya kule Ufaransa. Roma kutoka Italia wanazidi kujifua kuelekea msimu mpya ambapo mechi ya kirafiki iliyopita wakitoa sare. Vijana wa Stadio Olimpico wananependelewa kuondoka na ushindi kwa ODDS 1.59 na 4.31. Tengeneza mkeka hapa.

SOMA NA HII  WIKI YA UEFA IMERUDI TENA...KWANGUA MAMILIONI YA MERIDIANBET KWA ODDS HIZI ZA UHAKIKA...