Habari za Yanga Leo

HATIMAYE MAYELE ATUA REAL MADRID…ABEBA TAJI LA UEFA

Abubakar September 29, 2024 4:49 pm

Mshambuliaji wa Klabu ya Pyramids FCya nchini Misri na timu ya Taifa ya Congo DR, Fiston Kalala Mayele siku ya leo ametembelea uwanja wa Real Madrid Santiago Bernabéu nchini Hispania.

Mayele ambaye amewahi kuitumikia Yanga kwa misimu miwili, atarajia kuhudhuria mchezo wa Dabi ya Madrid siku ya leo kati ya Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid utakaopigwa majira ya saa 22:00 usiku.

Fiston Mayele ambaye ameisaidia timu yake kutwaa taji lao la kwanza, baada ya kukaa miaka mingi bila kutwaa taji.

Pia katika klabu yake ya FC Pyramids amekuwa ndiye mshambuliaji hatari na kinara kwa kufanga mabao.

KUELEKEA MECHI NA DODOMA JIJI LEO…MASTAA HAWA MUHIMU KUKOSEKANIKA SIMBA… KOCHA WA YANGA AJIUNGA NA LUPOPO