Sifa ya kwanza ya kumwita mchezaji timu ya Taifa ni kiwango bora ambacho anakuwa amekionyesha. Fomu ya Abdulrazack Hamza anastahili kuitwa timu ya Taifa.!
Kwa ujumla kiufundi, ikitokea mtu ni mgeni kabisa ndio anaingalia Simba kwa mara ya kwanza halafu akaambiwa timu inajengwa, ina asilimia 85% ya wachezaji ni wapya kabisa, ngumu kukubali.
Simba hadi sasa imefanikiwa kwenye maeneo makuu matano.
Utimamu wa mwili
Muunganiko V
Fighting Spirit-Proper deffending
Ubunifu, ufundi, mbinu.
Dodoma Jiji haijawahi kuwa wanyonge kwa Simba, technically walijiandaa kucheza dhidi ya timu kubwa. Mpango kazi ulikuwa ni kukaba njia, plus matumizi ya nguvu. TEAMWORK.
Kuna pasi elekezi hafalu kuna hizo pasi nyingine. Awesu, Fernades technicians wa mpira wanapiga sana pasi rula. Mpira unatii miguu yao.
Lionel Ateba, nguvu za tembo, akili za Simba kunyatia kitoweo. Mtamu sana kwenye 1V2. Nadra kumuona beki akichukiwa mpira mguuni kwake.
[…] ina habari njema juu ya beki wake wa kati, Abdulrazack Hamza ambaye alipata majeraha muda mfupi baada ya kujiunga na kambi ya timu ya taifa Taifa Stars’ […]
[…] ina habari njema juu ya beki wake wa kati, Abdulrazack Hamza ambaye alipata majeraha muda mfupi baada ya kujiunga na kambi ya timu ya taifa Taifa Stars’ […]