Home Meridianbet LEO TARAJIA PESA TUU NDANI YA MERIDIANBET….

LEO TARAJIA PESA TUU NDANI YA MERIDIANBET….

Meridianbet

Ikiwa wikendi ndio inaishia hivyo, usikubali kumaliza Jumapili yako bila kusuka jamvi na wababe wa ubashiri Tanzania Meridianbet. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa.

Mechi za mataifa kule Ulaya leo hii, Latvia atamenyana dhidi ya Armenia huku timu zote zikiwa na pointi sawa kwenye msimamo wa kundi. Kila timu inahitaji pointi tatu ambapo mechi ya mwisho kukutana mwenyeji alipoteza. Je nani kupata ushindi leo?. 3.25 kwa 2.13 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Vijana wa Thomas Tuchel England itakipiga dhidi ya Ireland ambao wanashika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa kundi B. Thomas Tuchel na vijana wake wanahitaji ushindi leo kuendelea kujikita kileleni huku ushindi wa mgeni yeye utazidi kumuweka kwenye nafasi hiyohiyo. Mechi hii imepewa ODDS 1.24 kwa 11.

Greece atakuwa mgeni wa Finland ambao hawajashinda mechi yoyote kati ya 5 alizocheza, yani amefungwa zote, huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpa mgeni nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.94 kwa 4.00. Je wewe unamdhamini nani akupe pesa Jumapili ya leo?. Jisajili hapa.

Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kivumbi kingine ni Austria dhidi ya Slovenia, ambapo mwenyeji ndiye kinara wa kundi akiwa na pointi zake 10 wakati mgeni yeye akiwa nafasi ya 3 na pointi zake 7. Ni sare iliyopatikana kwenye mchezo wa mwisho walipokutana. Je leo hii nani ataondoka kifua mbele?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Wakati huo huo Norway ya kina Haaland watakipiga dhidi ya Kazakhstan ambaye mpaka sasa ana pointi 1 pekee. Mwenyeji alishinda mechi yake iliyopita wakati kwa mgeni yeye alipoteza. Mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Nani ni nani leo?. Mechi hii ina ODDS 1.09 kwa 22. Tengeneza jamvi hapa.

Belgium baada ya kupoteza mechi iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa Israel ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Ubelgiji kwa ODDS 1.50 kwa 5.80. Bashiri hapa.

Mechi kubwa leo hii ni kati ya Itali vs France ambapo wametofautian pointi 3. Vijana wa Didier Deschamps walipigika mchezo wa mwisho walipokutana na Azzuri hivyo leo hii wanataka kulipa kisasi ugenini. Je wataweza?, Meridianbet wnamapendelea ushindi kwa ODDS 2.75 kwa 2.80. Jisajili sasa.

Mechi za kufuzu AFCON leo hii zipo mbili ambapo Algeria atamleta kwake Liberia ambao wameshinda mechi moja pekee kati ya 5 walizocheza huku mara ya mwisho kukutana mgeni alipoteza. Mwenyeji ana pointi 13 hadi sasa huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS 1.14 kwa 17. Jisajili hapa.

Pia mtanange mwingine utakuwa ni huu unaowakutanisha kati ya Togo vs Equatorial Guinea.Toafuti ya pointi kati yao ni 6 huku mwenyeji anahitaji heshima akiwa nyumbani. Je mgeni atapata pointi ugenini?. Mechi hii ina ODDS 2.25 kwa 3.20. Beti yako unampa nani?. Bashiri hapa.

SOMA NA HII  CHEZA DEUCES WILD POKER KASINO USHINDI NI RAHISI.....