Siku ya kubutua na Meridianbet imefika. Wikendi hii usikubali ikupite bila kuondoka na mkwanja wako kwani ligi mbalimbali zinaendelea leo hii. Nafasi ya kushinda ni yako sasa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Italia leo hii SERIE A kama kawaida zitapigwa mechi kibao, Cagliari Calcio atapepetana dhidi ya Atalanta BC ambao wapo kwenye mbio za ubingwa wakiwa nafasi ya kwanza hadi sasa. Meridianbet wamempa mgeni nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.55 kwa 5.60. Suka jamvi hapa.
Huku Udinese Calcio wao watakipiga dhidi ya SSC Napoli ya Antonio Conte ambao wametoka kupoteza mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare huku leo hii kila timu inataka kushinda na ODDS zao ni 5.40 kwa 1.73. Tandika jamvi hapa.
Bibi Kizee wa Turin Juventus atakuwa kwake Allianz kusaka pointi 3 dhidi ya Venezia FC ambao ndio vibonde wa ligi wakiwa na pointi 9 pekee hadi sasa. Juve ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita wakati kwa upande wa mgeni yeye ametoa sare pia. Nnai kuibuka mbabe? 1.42 kwa 8.00 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Jumamosi ya leo ni ya kupiga mkwanja na Meridianbet kwani odds kubwa na mcahguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
BUNDESLIGA kule Ujerumani nayo itarindima FC Augsburg atamleta kwake Bayer Leverkusen ya Alonso ambao ndio ambao ndio mabingwa watetezi wa kombe hili huku mpaka sasa wakiwa nafasi ya 3 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 13. Leverkusen anapewa nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.62 kwa 5.40. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.
Nao FSV Mainz watamenyana dhidi ya Bayern Munich ambao ndio vinara wa ligi hii mpaka sasa wakiwa na pointi zao 33. Mara ya mwisho kukutana vijana wa Kompany waliibuka na ushindi. Je munich wataendeleza ubabe wao dhidi ya Mainz?. 6.60 kwa 1.48 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
-
ST Pauli watakuwa na kibarua cha kumenyana dhidi ya Werder Bremen ambao wapo nafasi ya 10 wakati kwa mwenyeji yupo nafasi ya 15, huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 8 pekee. Kila timu inahitaji ushindi leo hii ambapo mabingwa wa ubashiri Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.70 kwa 2.65. Tandika jamvi lako hapa.