Home Meridianbet IJUMAA YA KUONDOKA NA USHINDI NI LEO….ODDS ZA UHAKIKA HIZI HAPA…

IJUMAA YA KUONDOKA NA USHINDI NI LEO….ODDS ZA UHAKIKA HIZI HAPA…

Meridianbet

Siku ya leo ni nzuri sana endapo utabashiri na mabingwa wa ubashiri Meridianbet kwani hapa ushindi ni lazima. Unangoja nini sasa?. Tandika jamvi lako la maana na uibuke bingwa.

Ligi kuu ya Uturuki SUPER LIG leo hii vijana wa Mourinho Fenerbahce watakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Eyupspor ambao wapo nafasi ya 4 mpaka sasa wakiwa na pointi zao 28, wakati mgeni yeye akiwa nafasi ya 2. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 5.20 kwa 1.52. Jisajili hapa.

Pale Uholanzi ligi kuu EREDIVISIE kuna mechi ya kupiga mkwanja ambapo Waalwjik atakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Zwolle ambao mpaka sasa kwenye mechi zake 16 kashinda 4 pekee. Wakati mwenyeji yeye akiwa na hali mbaya akishinda mechi 1 pekee hadi sasa. Mechi hii ina ODDS 2.80 kwa 2.35. Suka jamvi hapa.

Nafasi ya kuwa bingwa na Meridianbet ni leo kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA leo hii kuna mechi kali kabisa kati ya wenyeji Bayern Munich dhidi ya RB Leipzig. Ikumbukwe kuwa mechi iliyopita vijana wa Vincent Kompany walipigika ugenini huku RB wao wakiondoka na ushindi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.25 kwa 10. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.

Pia ligi ya LALIGA kule Hispania ambapo Girona baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Real Valladolid ambao wao walishinda mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana Girona alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. 1.42 kwa 7.80. Bashiri hapa.

SERIE A kule Italia kama kawaida kutakuwa na mbungi la kukata na shoka ambapo AC Milan atasafiri kwaajili ya kumenyana dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya 17 wakishinda mechi zao 5 kati ya 16 walizocheza hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 8 pekee huku mechi za msimu uliopita zote Milan walishinda. Beti mechi hii yenye ODDS 5.00 kwa 1.70.

Pale Uingereza CHAMPIONSHIP kuna mtanange wa pesa Luton Town atamkaribisha kwake Derby Country ambao wapo nafasi ya 14 wakati mwenyeji yeye yupo nafasi ya 19 huku leo hii kila timu inahitaji ushindi wa hali na mali. Mechi hii imepewa ODDS 2.20 kwa 3.50. Beti yako unaiweka wapi?. Tengeneza jamvi sasa.

Ligi kuu ya Uturuki SUPER LIG leo hii vijana wa Mourinho Fenerbahce watakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Eyupspor ambao wapo nafasi ya 4 mpaka sasa wakiwa na pointi zao 28, wakati mgeni yeye akiwa nafasi ya 2. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 5.20 kwa 1.52. Jisajili hapa.

Pale Uholanzi ligi kuu EREDIVISIE kuna mechi ya kupiga mkwanja ambapo Waalwjik atakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Zwolle ambao mpaka sasa kwenye mechi zake 16 kashinda 4 pekee. Wakati mwenyeji yeye akiwa na hali mbaya akishinda mechi 1 pekee hadi sasa. Mechi hii ina ODDS 2.80 kwa 2.35. Bashiri sasa.

SOMA NA HII  'CHAGUA NIKUPE' YA MERIDIANBET YAFANYA KWELI SABASABA....WATU WAZIDI KUBEBA ZAWADI...