Home Meridianbet JIUNGE NA MERIDIANBET, UFURAHIE DAU NA BONASI ZA BURE…..

JIUNGE NA MERIDIANBET, UFURAHIE DAU NA BONASI ZA BURE…..

Meridianbet

Meridianbet inakuletea fursa ya kipekee kupitia promosheni mpya ya “Tamasha la Dau Bonanza.” Washiriki wanapata nafasi ya kushinda dau za bure na bonasi, bila kujali kama tiketi zao zimeshinda au zimepoteza.

Promosheni hii, inayodumu hadi 22 Januari 2025, inapatikana kwa urahisi kupitia huduma ya USSD (*149*10#). Kwa dau la chini la TZS 500, unaweza kuingia katika droo ya zawadi kubwa.

Vigezo na Masharti ya Promosheni:

  • Wateja Wanaostahiki: Wateja wote wanaotumia huduma ya USSD (*149*10#) na kuweka dau ndani ya kipindi cha promosheni.
  • Muda wa Promosheni: Kuanzia 23 Desemba 2024 hadi 22 Januari 2025.
  • Mahitaji ya Tiketi:
    • Tiketi lazima iwe na mechi zisizopungua 3.
    • Kila mechi kwenye tiketi lazima iwe na odds zisizopungua 1.50.
    • Kiwango cha chini cha dau kwa tiketi ya kawaida ni TZS 500; kwa Jackpot (JP), kiwango kinabaki kuwa TZS 500.
  • Ushindi na Kushindwa: Tiketi zote, zilizoshinda na zilizoshindwa, zitahesabiwa katika promosheni hii.

Wateja wanaoshiriki katika “Tamasha la Dau Bonanza” watapata nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali, zikiwemo simu mpya ya Samsung A15, bonasi, na dau za bure kutoka Meridianbet katika msimu huu wa sikukuu.

Mbali na Promoshen hii, Mabingwa wa kubashiri nchini wamekuwekea michezo mbalimbali ya kasino, sloti lakini pia wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

NB: Kama bado Hujajisajili na Meridianbet na unawaza wapi unaweza kujisajili na kupata promoshei hii au kubashiri mishezo, basi USIHOFU. BONYEZA HAPA kujisajili sasa.

SOMA NA HII  EXPANSE TOURNAMENT KASINO, CHEZA KWA KUANZIA TSH 400/=.....